[Tprisf] Naomba msaada - utaratibu mpya wa ukodishwaji wa magari ya Taasisi kwa kazi za kitafiti

Lourance Mapunda lourance65 at yahoo.com
Tue Mar 5 11:59:24 EAT 2013


There you are! thats a good challenge I were waiting to see from the scientists. I still hope to see many more concerns about that. To add to your comments; Where is this coming from - Research policy?, What about the 10% the projects pays? Why and who always impose things to scientists at TPRI? Why this matter not put for discussion under TSF? Whose institute is this? Generally life of scientist here at the institute is always at a stake, kind of milking a cow one does not feed. And we have TSF
 
Lourance Njopilai David Mapunda (M.Sc. Management of Biodiversity )
Germplasm Exploration and Collection Officer,
National Plant Genetic Resources Center - TPRI,
P.O. Box 3024,
Arusha,
Tanzania
Epost lourance65 at yahoo.com
O/Phone & Fax +255 027 250 9674
Mobile +255 0786262635 


________________________________
 From: Mwema Felix <mwema.felix at gmail.com>
To: Tprisf <tprisf at habari.co.tz>; Tprisf <tprisf at mail.habari.co.tz> 
Sent: Tuesday, March 5, 2013 9:47 AM
Subject: [Tprisf] Naomba msaada - utaratibu mpya wa ukodishwaji wa magari ya Taasisi kwa kazi za kitafiti
 

Habari za kazi,

Natumai mtakua mnataarifa au kuona tangazo linalohusu utaratibu mpya wa ukodishwaji wa magari ya Taasisi kwa shughuri za kitafiti. Utaratibu huu umeanza kutumika mwezi huu wa tatu 2013.

Naomba msaada wenu; kuna baadhi ya wanasayansi ambao wameandika miradi na kutuma kwa wahisani (proposals) ili kupatiwa fedha (mfano - miezi sita iliyopita mpaka sasa). Bajeti ya usafiri iliyokadiriwa kwenye miradi yao ni kulingana na utaratibu uliokuwa unatumika hapo awali (sio huu wa kulipia USD 0.4/km).

Sasa endapo wanasayansi hao wakafanikiwa kupata pesa hizo na kwa utaratibu huu mpya wa ukodishwaji magari:-
	1. hali itakuwaje?
	2. mwanasayansi husika atatoa wapi hela za kukodishia gari husika kwa utaratibu huu mpya wakati gharama hii mpya haikuwepo kwenye bajeti yake?
	3. viongozi wa taasisi wameliona suala hili?
	4. wanasayansi watakaopatwa na shida hii (yawezekana ukawa ni wewe) watasaidiwaje?
	5. sisi kama wanasayansi - tunafanyaje sasa?
Kuna miradi ambayo teyari ipo inaendelea na nina uhakika utaratibu huu mpya utaathiri kazi zao za kitafiti kwa namna moja au nyingine. Na wao watafanyaje? Watatoa wapi pesa za kulipia magari hayo wakati gharama hizi mpya hazikuwa kwenye bajeti zao?

Mimi nashauri (mtazamo wangu tu), utaratibu huu mpya wa ukodishwaji wa magari kwa kulipia dola 0.4 kwa kilomita uanze kutumika kwa miradi mipya! Mfano, wanasayansi watakao andika miradi kuanzia sasa basi watumie viwango hivi vipya kwenye bajeti za miradi yao.

Nategemea kusoma mchango wako.

Wako katika kazi

Mwema
_______________________________________________
Tprisf mailing list
Tprisf at lists.habari.co.tz
http://lists.habari.co.tz/cgi-bin/mailman/listinfo/tprisf
-------------- next part --------------
An HTML attachment was scrubbed...
URL: <http://lists.habari.co.tz/pipermail/tprisf/attachments/20130305/801bb6d2/attachment-0001.html>


More information about the Tprisf mailing list